Jumatano, 19 Novemba 2014

PILI NZALIA, MSANII WA NYIMBO ZA KISUKUMA.


The big Mama ,Pili nzalia huyu ni moja ya wasanii wanao kuja juu kwenye tasnia ya muziki wa asili, Mwana mama huyu mzaliwa wa mkoa wa Mwanza ambaye ni zao la kampuni ya BLACKBOYZ PRODUCTION yenye makani yake Mjini Kahama.Kwa sasa ana nyimbo zaidi tano zinazo fanya vizuri hapa TZ.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni